Saturday, April 4, 2015

vijue viwanja vya ndege vyaajabu zaidi duniani ++

Usafiri wa ndege au wa njia ya anga ni raha lakini pia raha zaidi nipale unapo fika sehem au viwanja zinapotua ndege hizo.Leo nakuletea viwanja 10 vyakushangaza zaidi duniani,viwanja  vyenye mazingira yakushangaza hasa kwa abiria wa wapitiao katika viwanja hivyo naamini hatawewe vitakushangaza karibu tuvione;

10- Gibraltar ِAirport:


kinacho fanya uwanja huu wandege kua nautofauti nakuupa nafasi hii ni kwasababu unagawanywa na barabara katikati na muda ndege ikiwa ina paa magari ya na simama ndege inapita  na ikishapita magari huendelea nasafari zake kama kawaida.

9- Juancho E. Yrausquin Airport:


















Hua kinasemekana nawengi kama sehemu au uwanja wandege hatari zaidi duniani kwakuwa uwanja uliozungukwa na maji yaliyo chin au bondeni jambo ambalo hufanya ndege za abiria au zakibiashara kutoruhusiwa kutua katika viwanja hivyo ni ndege zenye panga kwa mbele (propeller planes).  pamoja nakuwepo kiwanja hicho hakuna kitu cha kushangaza kilichowahitokea kuwa shangaza majirani waishio katika eneo hilo.

8- Madeira, Funchail airport:

Image result for Madeira, Funchal airport:
Image result for Madeira, Funchal airport:Image result for Madeira, Funchal airport:
Zamani kiwanja hiki kilijulikana kama( Salnta Catarina Airport )na kilikua maarufu kwa kuwa na runway fupi zaidi jambo ambalo lilifanya kitumiwe na rubani wenye uzoefu wahali ya juu pia ndege nyingi zilikua hazifanyiwi marekebisho katika uwanja huu.pia uwanja huu umewahi kupewa tuzo(Outstanding Structure Award)kutoka kwa(International Association for Bridge and Structural Engineering) nibaada ya uwanja huu kuongezewa urefu wa 200m .pia uwanja huu umezungukwa na milima na bahari na urefu uliongezwa kwa kuweka daraja lenye kushangaza lenye nguzo zaidi ya 180 na zenye urefu wa 70m jambo ambalo lina fanya uwanja huo kuwa moja ya viwanja hatari zaid duniani

7- Courchevel airport:

Image result for Courchevel airport:



Image result for Courchevel airport:u
Uwanja huu ambao unapatikana nchini Ufaransa unamazingira yaajabu tofauti naviwanja vingine kwakuwa na miinuko na sio tambalale kama viwanja vingine vilivyo jambo ambalo hufanya kiwanja hiki kutumiwa zaidi na helcopta na ndege ndogo ambazo marubani wakewamepitia mafunzo hatarishi. pia sehem yakukimbia ndege(runway) nifupi sana ka 537m

6- Hong Kong Original airport:

Image result for hong kong original airportImage result for hong kong original airport
kinajulikana kamaKai Tak Airport nakili julikana kwa jina hili tangu 1925 mpaka 1998 baadae kuitwa Hong Kong International Airport nakwasasa unajulikana kama Hong Kong Kai Tak International Airport uwanja huu upo kwenye kisiwa chenye zaidi ya kilomita za mraba 5 pia ndani yake kuna sehemu za maonyesho na sehemu ya mafunzo au sehemu ya kuchezea golf.
Kiwanja hiki himezungukwa namiinuko jambo linalo fanya sehemu yakukimbia ndege kabla haijapaa(runway) kuelekea upanda wa kaskazini ambako ina ungana na bandari ya victoria na utuwaji katika kiwanja hiki kina hitaji marubani wenye uzoefu mkubwa

5- Osaka airport:

Image result for osaka airportImage result for osaka airport
Osaka International Airport au  Osaka-Itami International Airport ni kiwanja kilichopo nchini japan katika mji wa osaka ambacho katika miji mikubwa kama tokyo,osaka na kobe kiwanja hiki ndicho chenye hadhi ya juu zaidi nchini humo kiwanja hiki kimetengenezwa katika ghuba ya osaka .

4- Macao airport:








Macau International Airport unaopatikana katika mji wa macau china upande wa mashariki katika kisiwa cha taipa .Ujenzi wa uwanja huu katika kisiwa hiki ulitokana na ukosefu wa eneo na sehemu ya ndege kukimbia(ruway) ipokatika kisiwa   hicha taipa na mnara wa kuongozea ndege(controltower) upo uande mwingine wa nchikavu

3- Nepal, Lukla airport:

Image result for Nepal, Lukla airport:Image result for Nepal, Lukla airport:
Uwanja huu unapatikana katika mji mdogo wa NEPAL moja kati ya sehemu hatari zaidi duniani.Sehemu hii ni maarufu kwa sababu ni eneo ambalo watu hua nzia kupanda mlima Everest ndege nyingi hutua kipindi cha hali ya hewa  nzuri

2-Antarctic Peninsula:

Image result for Antarctic Peninsula airport
Uwanja huuunapatikana katika bara la antarctica sehemu inayo aminika kuwa inaongoza kwa baridi na barafu duniani sehem hii ni hatari kwasababu barafu ina weza ikaganda kwenye njia ya ndege nakusababisha ndege kukwama naajali nirahisi kutokea

1- Princess Juliana airport:




Image result for 1 princess juliana international airportImage result for 1 princess juliana international airport
Image result for 1 princess juliana international airport
Image result for 1 princess juliana international airport











Princess Juliana International Airport huu ni uwanja wandege  mkuu wa visiwa vya Caribbean vilivyopo saintmartin .Kiwanja hiki kilipewa jina hilo baada ya Juliana of the Netherlands ambaye alikuwa ni mtoto wa mfalme kutua katika uwanja huu1944 mwaka baada ya uwanja huu kuzinduliwa kitu cha kuvutia zaidi nkwamba njia ya ndege(runway)ina ishia karibu na pwani na Maho Beach. Kitu ambacho hufanya beach hiyo kufaidika na uwanja huo

No comments:

Post a Comment

Labels

Translate