HABARI NYINGINE TUTAENDELEA KUWA LETEA ........ PUNDE
Kwa habari zilizo tufikia nikwamba kulikua na mzee aliekua akiendesha gari dogo ambalo ndani alikua na mwanae anaedaiwa kuwa chizi ambae ingawa alikua akfungwa ila bado alikua akimsumbua mzee huyo aliekua akiendesha gari hiyo ndogo nakusababisha mzee huyo kuingia katikati ya barabara nakusababisha mabasi hayo kugongana tutaendelea kuku habarisha endelea kupitia blog hii..
Ajali nyingine tena imetokea Tanga leo APRIL 9 2015, taarifa za awali zinasema watu 10 wamefariki na wengine wamepata majeraha kutokana na ajali hiyo iliyotokea eneo la Mkata, Wilaya ya Handeni Tanga, gari zilizopata ajali hiyo ni basi la NGORIKA, jingine laRATCO pamoja na gari nyingine ndogo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, RPC Juma Ndaki kathibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akisema kwamba mwendo kasi umechangia kutokea ajali hiyo
get t on broo...you can..
ReplyDelete